Miaka 30 kumpa mimba mwanafunzi si sahihi

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Sasa ukimfunga miaka yote hiyo mtoto anakua bila baba: Mtoto huyo huyo atadhihakiwa na jamii kwa kutokuwa na baba na alivyopatikana (bastard?????). Pili malaezi/matunzo???? Hili lilihitaji mjadala mpana zaidi, sasa kwa vile wamebaki Ndioooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo, ona maamuzi!
 
Hao hao waliopitisha ndo watakuwa wa mwanzo kuivunja hiyo sheria na hamna lolote watakalofanywa
 
Aisee kwa kwel hili ni janga kubwa xana afu si kufungwa tu Bali kama una asset yoyote unataifishwa anapewa yule Uliempa mimba ili imsaidie ktk kulea mtoto wenu.so be careful kinsmen kama unapenda kwenda na vitoto vidogo regardless mmekubaliana au LA jera utaenda utaenda bila kupenda; kumbuka life out of prison is better than life in jail/prison, live accordingly and have control of your sexual passions watoto wadogo na wanafunzi si dili
 
Sheria hz zinakuwa kandamizi na zinamfanya mwanamke kama mtu asiyekuwa na akili wala utashi.Km ni mwanafunzi mwenye miaka 20, apewe mimba na mvulana mwenye miaka 19 na hawa wote wamejamii kwa hiari, iwepo adhabu imlenge mwanaume?Kwa msingi wa hoja gani ya Kisayansı?Kwa nini huyo mwanafunzi ahiari kufanya mapenzi?Na wakati mwingne mvulana STD 7 na mdada form 6, ni nani anatakiwa kumwongoza mwingne hapa?
 
Sasa ukimfunga miaka yote hiyo mtoto anakua bila baba: Mtoto huyo huyo atadhihakiwa na jamii kwa kutokuwa na baba na alivyopatikana (bastard?????). Pili malaezi/matunzo???? Hili lilihitaji mjadala mpana zaidi, sasa kwa vile wamebaki Ndioooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo, ona maamuzi!
Ni sahihi mkuu kwann umendee videnti wakati wanawake above 18 age wapo weng tu mtaan wengine mpaka wanajiuza.
Oa tu mr.
 
Tena inatakiwa kifungo cha maisha kbsa
 
Back
Top Bottom