vitusngitu
New Member
- May 14, 2015
- 4
- 3
Msaada wenu tafadhali kuna jamaa mmoja alikuwa na ugomvi na mke wake ndipo yule mwanaume alipoamua kuchukua kipande cha tofali na kumrushia mke wake lakini mama yule alifanikiwa kulikwepa tofali lile na kumfikia mtoto mdogo mwenye miezi mitano.
Baada ya kumpeleka mtoto yule hospitali alipewa referral kwenda hospital kubwa kwa matibabu lakini wakiwa njia mtoto yule alifariki dunia,
Je huyo jamaa atashitakiwa kwa kesi gani kwa kifungu kipi?
Baada ya kumpeleka mtoto yule hospitali alipewa referral kwenda hospital kubwa kwa matibabu lakini wakiwa njia mtoto yule alifariki dunia,
Je huyo jamaa atashitakiwa kwa kesi gani kwa kifungu kipi?