Sheria inasemaje unapoachishwa kazi ??

Dah ngumu hiyo ulifanyaje kazi bila mkataba ulilipwa kama mfanyakazi muajiriwa au kibarua tu na kama hukuwa na mkataba malipo ya NSSF yalipelekwa vp ulikuwa na payslip au salary slip
 
Dah ngumu hiyo ulifanyaje kazi bila mkataba ulilipwa kama mfanyakazi muajiriwa au kibarua tu na kama hukuwa na mkataba malipo ya NSSF yalipelekwa vp ulikuwa na payslip au salary slip

alikuwa analipwa mshahara kwa miaka yote 9 na NSSF inapelekwa kama kawaida kulingana na kiwango chake cha mshahara ila tu pesa inatolewa locally yaani unapewa tu pesa bila Pay slip wala salary slip.....kampuni inaendeshwa kienyeji hawapewi mikataba afanyaje mkuu??
 
Back
Top Bottom