Je, Ninaweza kuwa advocate?

Pangaea

JF-Expert Member
Jun 14, 2012
202
41
Wakuu, salaam.

Nina shahada ya kwanza Elimu ya pili katika HR. lakini maishani nimetamani kuwa lawyer ingawa sikufanikisha kutokana na circumstances anuai.

Naomba mnijuze kama nikifanya postgraduate diploma(PGDL) mfano hapo out ndoto yangu inaweza kutimia? Ama mnanishauri nifanyeje.
 
Analazimika kuanza bachelor degree upya?
Na vipi kuhusu shule ya OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA,kwa course ya sheria,haina usumbufu sana!!!???
 
Kuwa advocate lazima usome digrii ya sheria ukimaliza unasoma Law School ukifaulu mitihani unasubiri kuapishwa.Ushauri anza kusoma digrii ya Sheria chuo kikuu huria
 
Lazima uwe na bachelor ya sheria yenye ufaulu kulingana na vigezo vya Law School Of Tanzania! Tembelea website ya "LST Tanzania" !
 
Wakuu, salaam.

Nina shahada ya kwanza Elimu ya pili katika HR. lakini maishani nimetamani kuwa lawyer ingawa sikufanikisha kutokana na circumstances anuwai.

Naomba mnijuze kama nikifanya postgraduate diploma mfano hapo out ndoto yangu inaweza kutimia? Ama mnanishauri nifanyeje.
"Anuai"nimependa hii lugha mkuu, fanya shahada ya sheria,halafu kajiunge na shule ya sheria ufanya course ya uwakili
 
Analazimika kuanza bachelor degree upya?
Na vipi kuhusu shule ya OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA,kwa course ya sheria,haina usumbufu sana!!!???

....usumbufu kama upi hebu fafanua..

Nijuavyo, course ya sheria OUT ni kama course nyingine tu,utalipa ada km kawaida,first year unapewa material ya masomo ya course yako,thn mitihani test ni mwz wa pili na wa tano,annual exams mwz wa sita(test ni mara moja tu,either ufanye mwz wa pili,au km huna nafasi utafanya mwz wa tano).

Second yr pia utatakiwa kutoa copy masomo utakayotakiwa kusoma(au kwenda library, jengo jipya kubwa tu, vitabu vya kutosha)

Third yr pia utafanya hivyohivyo,na km una nafasi unaweza kujisomea na wenzako wa course yako kwa njia ya discussion,huwa wapo wanafunzi wa kutosha(kumbuka sio wanafunzi wote OUT ni waajiriwa).
 
Shahada haiepukiki, then law school. Kila la kheri hakuna jambo gumu mkuu. Kwenye practice wapo mawakili ambao ni madaktari, wahasibu nk. so hujachelewa.
 
Wakuu, salaam.

Nina shahada ya kwanza Elimu ya pili katika HR. lakini maishani nimetamani kuwa lawyer ingawa sikufanikisha kutokana na circumstances anuai.

Naomba mnijuze kama nikifanya postgraduate diploma(PGDL) mfano hapo out ndoto yangu inaweza kutimia? Ama mnanishauri nifanyeje.
******----******----******----******
Nitafurahi kama pia tunaweza kupata ufafanuzi wa sect 11(b) ya 'Thelaw school of Tanzania act, 2007' je other qualifications ni zipi? Je PGDL ni mojawapo?
section 11.-(1) A person is eligible to undertake a programme of practical Admission
legal training conducted by the School for the purposes of this Act if that and fees
person has obtained-
(a) a bachelor degree in law; or
(b) other qualifications from an accredited institution which the
Council considers to be equivalent to a bachelor degree in law
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom