ibesa mau JF-Expert Member Sep 17, 2015 2,109 1,697 Jul 6, 2016 #1 Nimeamua kuleta huku hili suala hili lipate ufafanuzi wa kisheria , kwani hili suala limekuwa likijadiliwa kwa hulka bila utaratibu. Je uteuzi wa ma das unaolalamikiwa kukiuka sheria na kanuni wanasheria mnasemaje
Nimeamua kuleta huku hili suala hili lipate ufafanuzi wa kisheria , kwani hili suala limekuwa likijadiliwa kwa hulka bila utaratibu. Je uteuzi wa ma das unaolalamikiwa kukiuka sheria na kanuni wanasheria mnasemaje
ibesa mau JF-Expert Member Sep 17, 2015 2,109 1,697 Jul 6, 2016 Thread starter #2 wewe kama si mwana sheria usichangie