Matumizi mabaya ya fedha za Serikali

Adjussi

Member
May 25, 2014
39
15
Wakuu, kwa anayefahamu.
Naomba kujuzwa ni Kanuni namba ngapi ya Public Finance Regulations ya mwaka 2001 revised edition 2004 ambayo inazungumzia matumizi mabaya ya fedha za umma/serikali. Au Sheria/Kanuni yoyote nyingine ambayo imezungumzia.

Natanguliza Shukrani.
 
Back
Top Bottom