Mafunguo 88
Senior Member
- Dec 21, 2016
- 155
- 184
Nimejaribu kufikilia sijapata jibu anaejua atusaidie jamani leo kwao kesho kwetu, mfano:-
Waliotuhumiwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya lakini mda huo huo wamekamatwa, wengi wao bila vidhibiti wa ushahidi wa kuaminika kuwa ni kweli wanafanya biashara hiyo. Je? alie watuhumu na kuwatangaza kwenye vyombo vya habari wakati hana uwezo wa kuthibitisha tuhuma hizo yuko sahihi kisheria?
Nimefuatilia saaaana Mh Paul Makonda anamtaja saaaana Mh JPM na anamtukuza saaaaaaaana katika Speech zake Je? ni kutaka kujionesha kuwa ndie kiongozi mnyenyekevu kuliko woote na mtiiifu kuliko woooote na Mwema mwenye uchungu na Dar kuliko wooote mbele ya Mh JPM.
Hivi operations mbalimbali zinaendeshwaje ndani ya mkoa, mfano mkoa una kamanda mkuu wa polisi, kamishina wa jeshi la polisi, magereza, wakuu wa Jwtz, wakuu wa takukulu, linapotokea jambo linalotakiwa kufuatiliwa mfano na takukuru au jeshi la polisi mkuu wa mkoa au wilaya anaweza kuamlisha tuu na kuongoza operation husika akiwa msitali wa mbele huku wataalam waliosomea wakiwa nyuma na mufata maelekezo toka kwa mwana siasa?
Kama ndivyo kazi ya hivi vyombo ni ipi?
Hivi hii vita inayoendelea ni kweli Mh Paulo ameamua kupambana mwenyeweeeee? au kwa vile Paulo n mwanasiasa mamlaka zake za uteuzi zimemtuma ili waweze kuwadhoofisha baadhi ya washindani wao kisiasa, au kulipizana visasi na chuki?
Hivi vigogo wanaoaminika kujihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya ndio hao tuuu Mbowe, Azan na Manji? Mh kikwete alisema kua na viongozi wa dini wamo which means ni wengi leo katajwa kiongozi mmoja tuu tena anaeonekanaga mara nyingi kwenye mikutano ya UKAWA hivi kinachoendelea nchini ni Vita dhidi ya madawa ya kulevya? au kuna vita nyingine ambayo hatujaijua?
Madawa ya kulevya n tatizo kwa Tz au Dar pekeeee?
Aidha naipongeza serikali kwa vita dhidi ya madawa ya kulevya tumuunge mkono kila alie na dhamira ya dhati ya kupambana na janga kama hili lililoogopwa hata wenye mamlaka ya juuu zaidi.