Kwa taratibu za kipelelezi na kiuchunguz,unaweza kuanika hadharani majina ya watu wanaokupa taarifa?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,917
Wataalamu wa maswala ya upelelezi na uchunguzi,practise ya kutaja hadharani majina ya watu wanaokupa au unaotaka wakupe taarifa za kiuchunguzi imewahi fanyika wapi katika huu ulimwengu?

Naomba mwenye majibu au mifano ya aina hii atuwekee hapa pamoja na mazingira husika ya ku-disclose majina ya watu wanaosaidia upelelezi kama jambo la aina hii liliwahi tokea.

Mara nyingi tumewasikia Polisi wakikataa kutaja majina ya watu au kutoa taarifa fulani kwa hofu ya kuharihu upelelezi.

Sasa mtu anaeharibu upelelezi huwa anafanyi hivyo kwa bahati mbaya?

Kama sio kwa bahati mbaya,lengo lake huwa ni nini hasa?
 
Back
Top Bottom