baiser
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,478
- 2,226
Ndugu wanaJF ilitokea katika makuzi yangu nikampa binti mimba nilikuwa na mahusiano mazuri tuu na yeye na nilimgharamia sehemu fulani ya masomo ingawa kwa kiasi kidogo sababu sikuwa na pesa za kutosha.
Ana miaka miwili toka amalize chuo, amebadilika na hataki tena mahusiano na mimi. Sasa mimi namtaka mwanangu anadai hanipi mtoto.
Hebu nisaidieni nianzie wapi nimpate baby wangu.
Ana miaka miwili toka amalize chuo, amebadilika na hataki tena mahusiano na mimi. Sasa mimi namtaka mwanangu anadai hanipi mtoto.
Hebu nisaidieni nianzie wapi nimpate baby wangu.