mimi kijana wa magetoni tu najipikia peke angu ila tatizo langu ni.chumvi siku nikisema chumvi imekolea chakula hakiliki nina mkono wa chumvi mbaya sana, na nikisema niweke ya kawaida chakula...
Leo nawaletea mapishi ya fish fingers ( sijui kama unaweza kusema vidole vya samaki)!, Ni mlo mzuri hasa kuliwa kama kitafunio au mboga ya pembeni au kitafunwa cha jioni.
Mahitaji
500g Fileti ya...
Mlenda wa bamia na nyanya chungu
Kuandaa: dakika 10
Mapishi: dakika 20
Walaji: 2
Ujuzi: Rahisi
Gharama: Nafuu
Mlenda ni mboga yetu cha asili. Kuna mlenda wa aina nyingi sana. Haya mapishi...
Hii ni juice ambayo niliigundua miaka flan nilipokuwa natumika sana kwa maswala ya wanawake. kipindi hicho kusema ukweli nilkuwa wakati mwingine najikuta nakuwa na mechi tatu kwa siku ambazo zote...
Wana jamii nimepata mengi sana kwenye JAMII FORUMS na nina imani hata hili wapishi au Chef wa Jamii forums atanipatia
NATAKA NIWE NATENGENEZA BIRTHDAY CAKES KWA FAMILIA YANGU MWENYEWE
ASANTE
Kwanza, weka wings ya kuku, tangawizi na vitunguu maji majini kwa dakika 15, halafu nawa wings kwa maji mapya
Pili, weka wings katika maji ya kuchemshwa mpaka rangi ya wings igeuze
Tatu, weka...
Mahitaji:
Kitunguu maji 1;
Vitunguu saumu 2;
Mafuta ya kula kikombe 4(1);
Nyama ya kusaga 1 2(1);
Vijiko 2 chumvi;
2(1)kijiko cha pilipili manga iliyosagwa vizuri;
Kijiko moja cha unga wa...
habarini humu ndani naomba msaada jinsi ya kutengeneza fondant sababu nimeangalia youtube naona wanaweka icing suger na marshmallow sina hakika kama hii marshmallow inapatikana hapa kwetu
Leo tunapika wali wa nazi, viazi vya kukaanga, mchemsho wa mboga za majani na samaki za kukaanga.
Mahitaji:
Mchele
Tui la nazi
Chumvi
Viazi
Kitunguu maji
Zucchin
karoti
French beans
Samaki...
Wana JF, napenda leo tuzungumzie aina za Mayai na upishi wake.
Nimeamua kuzungumzia mayai kutokana na wengi wetu kutojua aina hizi za mayai na kujikuta pindi tukitoka na kwenda mojawapo ya baadhi...
1.Samaki wa kipande 1/2 kg
2.Mchele 1/2 kg
3.Vitunguu maji 2
4.Carrot 1 kubwa ikwaruze
5.Mdalasini 1 teaspoon
6.Bizari ya pilau 1/2 tablespoon
7.Nyanya ya kopo
Kitunguu saumu na...
Habarini marafiki
Ifuaatayo ndo menyu ya kuandaa Juice ya Karoti na Machungwa
Mahitaji:
- Machungwa 20 au zaidi kutegemeana na jinsi upendavyo.
- Karoti 10 -17 hivi inategemeana anavyopenda
-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.