Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Hivi ndivyo wanaume wa mikoani tunavyo andaliwa chakula safi huwa hatunaga tabia za kujazana kwenye magenge ya chipsi na soseji kama wanaume wa dar!
16 Reactions
85 Replies
13K Views
Mahitaji Unga wa ngano kilo 1 Mayai 2 Chumvi Maji Siagi (butter) vijiko 3 vikubwa Mafuta ya kula kwa ajili ya kuchomea Iliki ya unga Maziwa ya unga vijiko 3 vikubwa Maelekezo Weka unga kwenye...
10 Reactions
1 Replies
15K Views
Msaada tafadhali! [emoji39] Habari, Kuna rafiki amenunua chakula chenyewe amenijuza kinaitwa Sushi. Naomba kufahamu kuna sSushi za aina ngapi na jinsi ya kuandaa Sushi tamu kuliko zote. By the...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna makitu flani niliwahi kula kwa jirani yanaitwa mabese aiseeee ni miaka kama 15 hivi sijapata kuyaona tena hayo makitu. Yanakuwa na rangi flani hivi kama ya cream matamu sana. Kuna anaeyajua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwwnye ujuzi tafadhali
0 Reactions
13 Replies
17K Views
Habari wanaJf... Upikaji wa vileja vya dengu MAHITAJI 1.UNGA WA DENGU 3/4 KIKOMBE 2.UNGA WA NGANO KIKOMBE 1 3.VEGETABLE GEE AU SAMLI 1/2 KIKOMBE 4.SUKARI ILIYOSAGWA 3/4 KIKOMBE 5. HARUFU YA...
1 Reactions
0 Replies
6K Views
habari za majukumu wana jf Naomba msaada wa kutengeneza kachumbari nina viungo hivi; nyanya, kitunguu maji, karroti, pilipili hoho, limao naomba muongozo wa jinsi ya kuandaa kama kutakua na...
1 Reactions
8 Replies
9K Views
Wakuu karibuni tujadiliane hapa hivi aliyebuni kuvaa vile vikofia ni nani ............. na lengo lake la kuvaa vile vikofia ni nini ......... na kwanini ni rangi nyeupe tu ??? karibuni...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Natumaini mnaendelea vizuri wanajamvi! Ninaomba kujua iwapo majiko ya gesi ambayo yana microwave na oven yanapatikana.
0 Reactions
15 Replies
11K Views
Hivi karibuni, mji wa Chengdu, ambao ni mji mkuu wa mkoa wa Sichuan uliidhinishwa kujiunga na mfumo wa miji yenye wazo la uvumbuzi wa shirika la elimu, sayansi na utamaduni wa Umoja wa Mataifa, na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari ya mchana wakuu nmekua na wazo la kutengeneza pilipili yenyewe ladha tofauti na chili source ambayo ndo kidogo imezoeleka kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya naona kidogo chillsource...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habarini wana-JF. Nazani Leo ndo first day fact ya SWAUM RAMADHANI KWA WAISLAMU DUNIANI KOTE. UNAZANI NI CHAKULA GANI UNACHOPENDELEAGA KUFUTURU JIONI? TUMWOMBE MOLA TUWE WENYE KUMALIZA SWAUMU...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Salaaam wakuu Kwa anaejuwa kupika hzo Bites naomba anielekeze plz ===================== ================================== Chukua unga wa ngano andaa kama unataka kupika chapati, chukua nyama ya...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Sabakher Wadau; Baada ya kuona Maujuz Mbali Mbali Ya Mapish Humu Na Mim Nimeona Mapish Matamu Ya Panya Almaarufu Kama Mbuku. Panya Anaweza Kutumiwa Kama Kitoweo! Au Roast. MAHITAJI; Panya Saiz Ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu,naomba kuelekezwa jinsi ya kupika roast ya maini saaaaafi
1 Reactions
25 Replies
24K Views
Jaman nataka kujua huyu kuku anapikwaje:(
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Pilipili hoho ni kiungo muhimu sana cha mboga na salad na wengine hula zikiwa mbichi. Lakini je wajua kuwa ziko za kike na za kiume na je wajua utumie vipi aina hizi mbili ili kupata matokeo ya...
5 Reactions
10 Replies
6K Views
Mahitaji:- ▪ Ndizi mzuzu (mbivu) 15 ▪ Nazi ya azam pkt 3 ▪ Maji kiasi ▪ Hiriki ilopondea kijiko 1 1/2 cha chai ▪ Zabibu kiasi ,ukipenda ▪ Cornflour/custard powder vijiko 2 vya chai ▪ Sukari...
1 Reactions
0 Replies
11K Views
Mahitaji Unga wa ngano 250g Butter 250g Mayai 9 Baking powder kijiko cha chai 1 Kuku wa kusaga 2 cups Chumvi kijiko cha chai 1 Sukari 1/3 cup Kungu manga 1/2 kijiko cha chai (sio lazima) Mdalasini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom