Wali wa mtindi

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
26,465
51,061
MAHITAJI,
mchele 1/2kg
sweetcorn
mtindi
chumvi na
mafuta.

Upishi,
chemsha maji ya kupikia wali.
.. kisha injika sufuria na utie mafuta yakipata moto weka mchele na ukaange
mchele ukianza kubadilika Rangi, weka sweetcorn endelea kukoroga,
.. kisha miminia mtindi na kukaanga kwa dakika mbili .
.. ongeza maji na chumvi na ufunike.
wali wako waweza kula mkavu ama na mboga yoyote.
 
Sweet corn ni nini?? Na inapatikanaje??
 
sweetcorn ni mahindi ya njano, kama sijakosea, sasa nashindwa kupata connection ya mahindi na hiyo pilau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom