Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Ngano nzima (shayiri) 3 Vikombe Kuku ½ (3 LB takriban) Thomu na tangawizi iliyosagwa 1 kijko cha supu Pilipili manga ya unga ½ kijiko cha chai Jiyrah (cumin/bizari ya pilau) ½ kijiko cha chai...
14 Reactions
68 Replies
19K Views
HATUA √ Ichambue soya yako vizuri kuondoa uchafu na mbegu mbovu √ Bandika maji jikoni mpaka yachemke √ Weka soya yako ndani ya maji na iache kwa muda wa nusu saa na kuendelea kulingana na ukali wa...
2 Reactions
5 Replies
18K Views
jameni pokeni na shughuri za kutafuta mafao, naombeni msaada , leo kuna hii mboga ya wanyamwezi na wasukuma huitumia " MZUBO" naomba kujua jinsi ya kuiandA na vile vile jinai ya kuipika asanteni
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam, Mara kadhaa nimekua nikikutana na mtindi ambao unagandishwa kwa njia za kawaida kabisa humu mitaani,naita njia za kawaida kwasababu mtindi huu hauhitaji mitambo kama mtindi wa viwandani...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Kwa wakazi wa tanga na wapishi wote nawaletea Karanga za kusag kwa ajili ya kupikia mapishi mbali mbali jiandae kutumia kiungo tofauti na Nazi kwa oda kwa watakao itaji 0762581579
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima kwenu ndugu zangu kwasana wana jf. Naombeni msaada wenu wa jinsi yaku andaa pilipili na tangawizi, lakini ziwe katika mfumo wa unga. Nina penda kujifunza njia hii ya uandaaji wa hivi...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu wapishi mashuhuri. Kuna huyu Samaki nilibahatisha kumla kama mara tatu hivi Hotelini kwenye mchanganyiko wa sea dish, nikampenda sana. Naomba kujuzwa aina mbalimbali ya mapishi...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
0 Reactions
4 Replies
44K Views
Kila nikijaribu kupika tembele nashindwa mwenzenu mara maji mengi, nisipoweka naunguza, mara limelepweta eti nakoroga badala ya kugeuza shida tupu. Nisaidieni mwenzenu.
1 Reactions
11 Replies
18K Views
Wadau, Ni matumaini yangu wazima na mnaendelea na shughuli zenu za kila siku. Naomba msaada kwa yoyote anaejua jinsi ya kutengeneza icecream amabazo zinakua zenye ladha nzuri,rangi ya kuvutia...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Mahitaji Dagaa waliokaushwa ( 2 kikombe cha chai) Bamia ( 5) Nyanya chungu ( 5) Tui la nazi ( 1 kikombe cha chai) Nyanya (kubwa 2) Kitunguu (onion 1) Curry powder 1/2 ya kijiko cha chai...
11 Reactions
29 Replies
15K Views
Naombeni kujua glycerine ya kupambia keki inauzwa wp Arusha?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu mabibi Na mabwana popote mlipo, ni iman yangu kuwa mko bomba kabisa, Km kichwa cha habari kinavyosomeka mwenzenu napata tabu sana kwakweli, mikono yangu iko Na alama alama hadi...
0 Reactions
82 Replies
7K Views
nilivutiwa na MziziMkavu na threa yake ya kuhusu pishi la bamia,.na kwangu ndo ilikua mara ya kwanza kujua kama inaitwa ladies finger, nshazoea okra mie kumbe !!!! basi katika pitapita yangu ya...
6 Reactions
51 Replies
28K Views
JIFUNZE KUMPIKIA MKEO BIRIANI YA KUKU WA KUCHOMA NI RAHISI UKICHEZA NA JIKO SOMETIMES Viungo na vipimo vyake Mchele wa Basmati /Pishori vikombe 4 Kuku 1 Vitunguu 3 Nyanya/Tungule 2 Tangawizi...
6 Reactions
0 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu Naomba msaada wa kutengeneza juisi zifuatazo (1)Juisi ya tangawizi Nataka jua kiufasaha, na je naweza weka sukari au asali? Naomba mnijuze vizuri. (2) Pia nataka kujua jinsi...
0 Reactions
12 Replies
32K Views
Habar jf Chef, naomba kuelekezwa jinsi gani ya kupika uyoga mbichi na mkavu?
0 Reactions
3 Replies
13K Views
Mapishi ya nyama ya kuku na tangawizi Mahitaji Nyama ya kuku, tangawizi gramu 10, vitunguu maji gramu 5, siki kijiko kimoja, mchuzi wa sosi kijiko kimoja, mvinyo wa kupikia kijiko kimoja, maji...
1 Reactions
2 Replies
11K Views
Mahitaji: unga, maji, sukari, chachu, mushrooms, pilipilimboga, jibini, siagi, mayai, pizza sauce, bacon, vitunguu saumu. Hatua: 1. Kwa kufuata mchakato wa kutengeneza mkate, chaganya mahitaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
mimi kijana wa magetoni tu najipikia peke angu ila tatizo langu ni.chumvi siku nikisema chumvi imekolea chakula hakiliki nina mkono wa chumvi mbaya sana, na nikisema niweke ya kawaida chakula...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom