Dessert ni chakula gani?

Duh! kweli wazungu wametubeba, anyway, nnavyoelewa mimi dessert (inatamkwa dizet) ni vyakula vinavyoliwa baada ya mlo (wa jioni au mchana) kwa ajili ya kusaidia mfumo wa kumeng'enya mlo uliokula, na mara nyingi inakua ni vitu vitamu (sukari) kama vile keki au chocolate, ice cream au mchanganyiko wa matunda (pudding).
 
kwa sisi wapishi kuna starter, halafu main dish, halafu dessert, dissert huwa chakula ni chakula mwisho kwwnye mlo, usually huwa kitamu mfano ice cream, vijikaki vilivyotiwa flavour,au chocolate, au anything sweet
 
Baada ya starter ni soup halafu ndiyo main dish mpishi
 
Baada ya starter ni soup halafu ndiyo main dish mpishi

Prishaz;
Nawe umeamua kutuchanganya, Starter imekuwa gari au pikipiki?? Kwetu jioni maza anachemsha viazi sukari tunawekewa na maziwa, weeeee acha tu hatulali siku hiyoo. Hadithi mwanzo mwisho usipitwe. Nyie kakimbilieni na mavyakula ya kuliliwa usiku majangwani huko na starter za magari, kwani huna meno
 
Nakuambia sasa. Tangu umezaliwa ulisikia wapi chakula hicho. Miye nimekuta ugali kwa nyama, uji wa ngano, wali kwa papai la kukaanga, hayo mengine ni nini tena? Sijui chokoleti, mtakula hata amira ninyi Ohooo

Hahah watakul hadi friji
 
Kimbley;
Nimekupenda bure kabisa mwanangu. Si vyote viliwavyo

Kuna siku nilijaribu kula pudding ya banana sikuipenda kabisa!nikajaribu tena ya Brown pudding na yenyewe ilinishinda,sijui ushamba unanisumbua!!?
 
Back
Top Bottom