Pilipilihoho
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 202
- 145
Mahitaji: unga, maji, sukari, chachu, mushrooms, pilipilimboga, jibini, siagi, mayai, pizza sauce, bacon, vitunguu saumu.
Hatua:
1. Kwa kufuata mchakato wa kutengeneza mkate, chaganya mahitaji yote ya kutengeneza mkate iwe donge, halafu umka mpaka donge iwe mara mbili ya zamani, kata donge iwe mbili, halafu umka tena kwa dakika 10. Kata mushrooms slice, bacon iwe vipende vidogo vidogo, pilipili mboga na vitungu saumu ziwe pete, weka mafuta madogo katika bodi ya ukataji, fanya donge iwe mviringo.
2. Safisha mould and sugua maji
3. Weka donge katika mould
4. Kwa tumia uma kufanya shimo vidogovidogo na funika na mafuta ya mizeituni, umka kwa dakika 10.
5. Funika na pizza sauce
6. Funika na jibini, halafu weka bacon, mashrooms, pilipilimboga na vitunguu saumu, halafu funika na jibini tena.
7. Weka katika tanuri, digrii 210 kwa dakika 25, baada ya dakika 20, chukua na kufunika na jibini, halafu oka kwa dakika 5 tena.
8. Mwishowe, utaonja.