Nisaidieni katika upishi

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
6,793
8,734
mimi kijana wa magetoni tu najipikia peke angu ila tatizo langu ni.chumvi siku nikisema chumvi imekolea chakula hakiliki nina mkono wa chumvi mbaya sana, na nikisema niweke ya kawaida chakula hakina chumvi kabisaa, tatizo ni nn
 
Uwekaji wa chumvi weka kidogo kidogo kidogo huku ukionja hadi ikolee

Kumbuka kuna baadhi ya vyakula hukolea chumvi mara moja so kuwa makini ukiweka chumvi,mfano wa hivyo vyaku ni;-

1)maini
2)maharage
3)na baadhi ya mboga za majani Kama mchicha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom