fuata hatua zote za kupika pilau lakini badala ya kutumia jiko wewe tumia rice cooker.
Kama kuna sehemu sijaeleweka jisikie huru kuniuliza.
Enjoy pilau lako
Mapishi ya wali wa nazi:
VIFAA
Mchele kg 1
Nazi 2 au pkt 2 nazi ya maji
Chumvi kijiko 1 cha chakula
Jira kijiko 1cha chakula
Maji 1/2 lita
JINSI YA KUANDAA
Osha mchele vizuri,chuja...
KEKI ISIYOOZA.
Chukua kiasi kikubwa cha "UCHANGAMFU".
Angalia kisiwe kikubwa sana. Changanya na
bakuli lililojaa "UKARIMU". Ongeza bakuli la
"WEMA" Changanya na kijiko cha "HURUMA"
Koroga vyote...
Male Chef/Mpishi is needed in a restaurant located outside of town. Must speak English and Swahili fluent.
Know how to cook different food both local and international, pizza is an advantage...
Cannelloni pamoja na nyama ya kusaga
Viungo: 1/2 kikombe maziwa - kikombe nyeupe unga - 3 mayai - 2 tbsp siagi - chumvi -pilipili -kitoweo
Kwa stuffing: gramu 400 nyama ya kusaga au jibini au...
Mahitaji maziwa, mayai, sukari kidogo, hiriki.
Utayarishaji wake, pasua mayai kutokana na size ya chakula unachotaka kupika, yakoroge hadi yachanganyike vizuri, kisha anza kuchemsha...
Habari wanajamvi!
Naombeni mnielekeze mapishi ya mihogo ilokauswa (makopa). Nakumbuka nilishawahi kula hiki chakula nikiwa mdogo ni kitamu sana na nitamani nipike tena.
Nitashukuru sana kwa...
Wakuu,
Nahitaji kununua hili jiko kwa aliyewahi tumia hili jiko.
Tathmini nzima ya uendeshaji.
Mafuta yao kwa mwezi ni Lita ngapi yanacost endapo kila siku mnapka Chakula cha wawili.
Any side...
HELOW Jf family..Hi!
-Anaejua jinsi ya kupika kisamvu kama wanachopikaga Wapopo mixing samaki nyama na mengineyo,please msaada.
-Pia anaejua kupika supu ya kipopo ile ya Mbuzi yenye ngozi...
Habari wakuu.
Nataka nifanye ubunifu wa kutengeneza majiko ya plate na kukaangia chips ambayo yanabana matumizi. Lakini kabla ya hayo nataka nijue kati ya Gesi na Mkaa katika matumizi ni ipi...
Najua wengi tunapika na wengi tunajua kupika. Leo nimeona ni vema nikupe tip juu ya Tangawizi na Vitunguu Swaumu, kwani mbali na viungo hivi kuwa na virutubisho muhimu sana katika miili yetu pia...
Mahitaji
1)mchele kg 1
2)vitunguu maji 5 vikubwa
3)vitunguu thomu 2 ukubwa kiasi
4)nyama/kuku
5)tangawizi kiasi
6)chumvi kiasi
7)uzile wa unga
8)mafuta robo kikombe
9)zabibu kavu kiasi
Namna ya...
Habari zenu wadau.
Natumai mu-wazima kabisa. Well, kama mada inavyojieleza hapo juu naomba msaada wa maandalizi na upishi juu ya hawa kuku kama wa ChickenKing au Marrybrown.
Hawa kuku sjui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.