Wakuu,
Kwa hapa Dar es Salaam ni hoteli ipi au mgahawa upi naweza kupata vyakula vya kienyeji vya asili ya mikoa ya kanda ya kati, magharibi na ziwa?. Jasiri haachi asili.
Wengi wetu tumezoea nyanya chungu za nazi,biringanya pia likipikwa na nazi huwa na ladha nzuri pia.
Mahitaji:
Biringanya kata dogo dogo wek katika maji ya baridi (hii husaidia biringani...
Waungwana mimi Nina kipaji cha utungaji wa vitabu vya mapishi.Nimakabiliwa na changamoto ya kifedha na hatua muhimu zakufanya kitabu kiingie sokoni na kuuzwa.Kama Una msaada wa mawazo au kifedha...
Mahitaji
Nyama ya ng'ombe ya mafupa bila ya kukatwa (pande kubwa unalotaka)
Viazi 4 vya mviringo vilivyomenywa na kukatwa
Vijiko 2 vya chakula vya thomu na tangawizi iliyosagwa
Kijiko 1 cha...
Mahitaji
Utumbo wa ng'ombe kg 1
Ndizi mbichi chana 2 ukubwa kiasi (ndizi 16-20)
Nyanya 3 kubwa
Kitunguu 1 kikubwa
Ndimu 2
Pilipili manga 1/2 kijiko cha chai
Tangawizi iliosagwa na saumu...
Viamba vya upishi
1. Manda za sambusa kiachi 40 -50
2. Mafuta ya kukaangia lita moja
3. Nyama ya kuku iliyosagwa kilo moja
4. Kitunguu saumu na tangawizi iliyosagwa kijiko kimoja
5...
Mahitaji
1)Chicken breast(kata vipande vidogo kiasi)
2)pilipili manga
3)mayai
4)chumvi kiasi
5)unga wa ngano
6)Mafuta ya kupikia
Namna ya kutaarisha
1)Weka chumvi katika chicken breast pamoja...
Habarini wadau,
Huwa sipatikani kwa urahisi kwenye hili forum la JF Chef. Katika pita pita zangu niliona habari ya kuvutia kutoka Marekani.
Kama mjuavyo, kuna baadhi ya nchi duniani zinazo wapa...
RECIPE SAFI SANA YA DENGU HIZI ZA AINA YAKE
MAHITAJI
240gram Pigeon Peas ( Dengu)
1/4 tsp Turmeric (manjano)
720 gram maji masafi
3 kijiko kikubwa cha chakula samli (Ghee)
1 kitunguu kikubwa...
Je unatumia gas kwa kupikia?Tafadhali soma ujumbe huu na uchukue tahadhari ili isitokee kwako. Hili linaweza kuwa ni kosa la kawaida katika kila nyumba.JINSI ILIVYOTOKEA.jiko la gas lilikuwa...
Ingredients that are used to make this extremely effective potion are proven to help in the treatment and prevention of dementia and cancer.
Science has proven the powers of turmeric in the...
Kuna kitu nimewahi nunua ila sijakipata tena wala kujua nitapata wapi. Wengine wanaita ubuyu wa embe, wengine achari ila ni kama maembe yakatwe kidogodogo yakaushwe na kuwekwa viungo na rangi kama...
Habari wana JF.
Mwenzenuu nimeamua kupunguza safari za kwenda baa kunywa bia na sasa nahitaji kama kuna mtu anafahamu jinsiya kutengeneza bia nyumbani anifahamishe ili niwe natengeneza tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.