Nowdays wamerahisisha unapata foundat ikiwa imetengenezwa Tayari. Kutengeneza inahitaji uwe na gelatin, glucose, gryline na icing sugar..
Unapoomba msaada lazima usimplify lugha yako, utakosa mengi kwa kutokuwa open...habarini humu ndani naomba msaada jinsi ya kutengeneza fondant sababu nimeangalia youtube naona wanaweka icing suger na marshmallow sina hakika kama hii marshmallow inapatikana hapa kwetu