Jinsi ya kutengeneza mbege

Banana wine sio mbege bali ni wine kama ilivyo ya zabibu ama rozela.
Mbege ni kitu ingine kabisa bali ndizi ni moja ya raw magerial yake pia.

Kwa hyo huyo jamaa hafundishi kutengeneza Mbege bali Banana wine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom