Upishi wa Samaki aina ya Lobster (Kamba kochi)

Omerta

JF-Expert Member
Jan 3, 2016
5,947
7,493
Habari zenu wapishi mashuhuri.

Kuna huyu Samaki nilibahatisha kumla kama mara tatu hivi Hotelini kwenye mchanganyiko wa sea dish, nikampenda sana.

Naomba kujuzwa aina mbalimbali ya mapishi yake, anapatikana wapi kwa Dar es salaam?

Na vipi bei elekezi?

Nataka niwe natengeneza mwenyewe nyumbani.

Aksante
 
Unaweza kumchoma, kumkaanga, kumpika chuku chuku.

Bei inategemea na ukubwa na aina ipi ya lobster. Linganisha na bei ya kuku wa kienyeji kwa Dar.

Kwa details zaidi za mapishi, bi farkhina atakusaidia. Mimi nnajuwa kumpika lakini to go into details, fanya hivi fanya vile si fani yangu.
 
Unaweza kumchoma, kumkaanga, kumpiga chuku chuku.

Bei inategemea na ukubwa na aina ipi ya lobster. Linganisha na bei ya kuku wa kienyeji kwa Dar.

Kwa details zaidi za mapishi, bi @farhina atakusaidia. Mimi nnajuwa kumpika lakini to go into details, fanya hivi fanya vile si fani yangu.
Shikamoo bibi,
Naona Magu anakanyaga twende, Ndalichako ndo usiseme,
Aaahhh nyimbo ya marehemu Komba itakuhusu sana.
 
Shikamoo bibi,
Naona Magu anakanyaga twende, Ndalichako ndo usiseme,
Aaahhh nyimbo ya marehemu Komba itakuhusu sana.

Unajuwa kupika lobster changia mada la hujuwi sepa na tukutane jukwaa la siasa, hapa ni mahanjumati tu.

Punguani wahed.
 
Unajuwa kupika lobster changia mada la hujuwi sepa na tukutane jukwaa la siasa, hapa ni mahanjumati tu.

Punguani wahed.
Kikongwe usimaindi mwache Magu akanyage twende,
Speed ya Ndalichako, na shule zenu zilivyo vihio mbona mtakoa mwaka huu
 
Back
Top Bottom