Kila nikipika naungua

habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,791
8,743
Heshima kwenu mabibi Na mabwana popote mlipo, ni iman yangu kuwa mko bomba kabisa,

Km kichwa cha habari kinavyosomeka mwenzenu napata tabu sana kwakweli, mikono yangu iko Na alama alama hadi naboreka, nifanye nn ama nitumie njia gani pindi ninajipikia nisiungue, imefikia wakati hadi naogopa kujipikia sasa nimekuwa MTU wa mama lishe.

Ushauri wako ni wamuhimu uwe mzuri hata mbaya pia, asante
 
3786c37b5ccc875e1ce4c7eb9c133021.jpg
1356e65ad13f32b472456d2ee8dbcf01.jpg
a03b71285d2e6fc80c7e09390416b410.jpg

Tafuta mishikio ya namna hii dada. Usije kukimbiwa na bwana wako kisa mabaka mikononi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom