Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Mambo vp , Naombeni kujuzwa hyo cake inapikwaje na kupambwaje? Birthday yangu ni trh 20/10 (alhamis) I wish nijue nijitengenezee ili nile na familia Karibuni wataalam NB:hyo picha nimeiiba mahali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mahitaji Muhogo uliomenywa Na kukatwa vipambe ukubwa kiasi Mafuta Chumvi Na pilipili kavu twanga pamoja Namna ya kutaarisha Chemsha muhogo wako Na maji hadi uwive Na kua laini (angalia...
11 Reactions
20 Replies
11K Views
Kwa maelezo zaidi fungua hapa
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mahitaji Kikombe 1½ cha unga wa ngano (kama gramu 200) ½ kikombe cha siagi (margarine, kama gramu 133) Mayai 2 Vijiko 2 vikubwa vya vanilla Kikombe 1 cha sukari nyeupe (Ni kama gramu 200. Mie...
2 Reactions
2 Replies
26K Views
Mwenye utaalam wa kutumia unga wa muhogo kutengeneza mikate plz nipe Elimu jinsi unga unavyotumika.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wana jf naomba kufahamishwa jinsi yakuandaa/kutengeneneza ice cream corn, mahitaj na process zte, Nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Napenda sana biskuti, especially nikila na Icecream (nachovya kama ugali na mboga). Recipe hii nilipewa na Mama Zurie nami nashare nanyi ndugu zangu. MAHITAJI: Unga wa Ngano Kikombe kimoja na...
6 Reactions
0 Replies
17K Views
Ndugu zangu wanajukwaa naombeni mnifundishe namna ya kutengeneza keki
0 Reactions
4 Replies
17K Views
Karibu Chai sasa, Yeah it's late but it's weekend for Heaven Sake. Recipe from Fauzia Kitchen Fun for Mandazi in Google, nimetumia vikombe sita vya ngano, kijiko kimoja na nusu cha hamira, kijiko...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Habarini wanaJF, Naomba msaada jinsi ya kutengeneza kuku sekela. Viungo gani vinatumika?
0 Reactions
26 Replies
15K Views
Mahitaji Kabichi 1 Pilipili hoho 1 Karoti 2 Vitunguu maji 2 Kitunguu saumu 1 Limao au ndimu Tangawizi 1 Mafuta vijiko 3 (olive oil) Chumvi Maelekezo Katakata kabichi, pilipili hoho, karoti...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
kwa wale tunaojua kupika kuna hii style ya kupika labda wali nazi au pilau tamu au biriani la mchele wa kawaida tunavoloweka mchele muda mrefu ni sawa ? haushi virutubisho? tunapika chakula...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Huku nimeona wamechanganya na kiti moto, MUSHROOM + PORK SUNDAY LUNCH - Fashvo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mahitaji Juice ya chungwa (Unaweza kukamua au ukatumia ya box) Asali ya nyuki Chombo cha kuchemshia ( sufuria, glass au bilauri) Microwave au jiko la kawaida Maelekezo Unaweza kuandaa juisi hii...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari za jioni, Kuna cake nyingi wanatengeneza wale wenye uzoefu walizokula tutajeni keki tamu na nzuri mikoa tofauti kama Dar, Mbeya.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mahitaji Kuku nusu kilo Asali vijiko 4 Sukari ya brown kijiko 1 na nusu Soy sauce nusu kikombe ,hii ni sawa na vijiko 8 vya mezani Tangawizi vijiko 2 vya chai Kitunguu saumu vijiko 2 vya chai...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi ndivyo wanaume wa mikoani tunavyo andaliwa chakula safi huwa hatunaga tabia za kujazana kwenye magenge ya chipsi na soseji kama wanaume wa dar!
16 Reactions
85 Replies
13K Views
Mahitaji Unga wa ngano kilo 1 Mayai 2 Chumvi Maji Siagi (butter) vijiko 3 vikubwa Mafuta ya kula kwa ajili ya kuchomea Iliki ya unga Maziwa ya unga vijiko 3 vikubwa Maelekezo Weka unga kwenye...
10 Reactions
1 Replies
15K Views
Msaada tafadhali! [emoji39] Habari, Kuna rafiki amenunua chakula chenyewe amenijuza kinaitwa Sushi. Naomba kufahamu kuna sSushi za aina ngapi na jinsi ya kuandaa Sushi tamu kuliko zote. By the...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna makitu flani niliwahi kula kwa jirani yanaitwa mabese aiseeee ni miaka kama 15 hivi sijapata kuyaona tena hayo makitu. Yanakuwa na rangi flani hivi kama ya cream matamu sana. Kuna anaeyajua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom