Heshima kwenu ndugu zangu kwasana wana jf.
Naombeni msaada wenu wa jinsi yaku andaa pilipili na tangawizi, lakini ziwe katika mfumo wa unga.
Nina penda kujifunza njia hii ya uandaaji wa hivi viungo kwani naamini ndio njia itakayo kuwa rahisi kwaajili ya utunzaji na kuendelea kuwa na virutubisho vilevile.
Mimi binafsi kuna muda hununua tangawizi iliyo sagwa lakini maranyingi, tangawizi hiyo ninayo inunua huko masokoni huhisi kama inaupungufu wa kitu hasa kwenye swaala la ladha, huwa sikuti ladha iliyo na ukali ukilinganisha na ninapo nunua mbichi naku itwanga mwenyewe. Hiki kitu hunifanya kuamini walio iandaa tangawizi hiyo huwenda kuna kitu walikosea nandiyo maana mimi ninataka kujifunza ilikusudi nijiandalie mwenyewe. Nakatika upande wa pilipi ni hivyoyohivyiyo.