Wakuu habari za muda huu. Jana kuna mfanyakazi mwenzetu ni mwenyeji wa Bukoba alikuja na senene wamepikwa vizuri sana nadhani hakuwala akawa amempa mwenzetu. Sasa leo nikawa nimeziona nikasema ngoja nijaribu kuzila.
Huwezi amini nimekuta ni watamu mno na wana ladha kama ya samaki. Sasa toka nimekula imepita nusu saa naombeni uzoefu wenu wadau nasikia huwa inaongeza hamu ya kugegeda ila nina wasiwasi ikibidi nianze kuvaa pampasi huenda nikaanza kuendesha.
Wenye ujuzi na hawa viumbe hasa ndugu zetu wahaya hebu tiririkeni.
Asanteni wakuu.