Jinsi ya kupika bagia

G45

Senior Member
Apr 21, 2016
163
94
Naomba kujua jinsi ya kupika bagia alafu pia kujua tofauti ya bagia za Tz naza Kenya coz wakenya wanasema bagia kwao ni viazi vimewekwa unga wa rangi vika kaangwa!
 
Back
Top Bottom