Cocktail inatengenezwaje?

jimmy jimble

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
216
216
Wataalam wa cocktail naomba mnipe mchanganuo wakutengeneza cocktail ambayo itakua mbadala wa bia katika birthday yangu ili kuokoa hela mana watu watakua wengi, nahitaji itayokua strong ya kulewesha angalau toti mbili tu.
 
Changanya bapa,KVant,sminof,value,tikitik maji,nanasi,nazi,hapo watu watjiramba hatareee.....
 
The cheaper the better

Changanya juice zile za kuchanganya na maji katika ndoo kubwa mbili pamoja na mizinga kama mitatu hivi ya konyagi kila ndoo
asante sana joanah
so niwe nishamix juice na maji ndio naweka bapa kubwa tatu kila ndoo.nitajaribu hii
 
Changanya limao (kata kata vipande), + ice rocks, and Smirnoff. Hapo utapata kitu kinaitwa love booster
IMG-20170221-WA0002.jpg
 
Yaani huwezi amini jumapili nimepiga bapa na jamaa si nikazima moja kwa moja mpaka j3 ile kuamka saa sita mchana,ataua watu huyu kwa mchanganyiko huo
Hahahahah
Mimi hayo mambo ya pombe ndio yalishanishinda

Huu mchanganyiko hauwezi kuwaua bhana maana naona watu wengi huku huwa wanafanya hivyo hivyo katika birthday zao

Hakuna mwenye muda wa kuwanunulia wines wageni wengi
 
Hahahahah
Mimi hayo mambo ya pombe ndio yalishanishinda

Huu mchanganyiko hauwezi kuwaua bhana maana naona watu wengi huku huwa wanafanya hivyo hivyo katika birthday zao

Hakuna mwenye muda wa kuwanunulia wines wageni wengi
Mambo ya pombe yana changamoto zake,tulianza na vibia vyetu vidogo dogo akaja jamaa akasema mbona mnapoteza raha ngoja niwaoneshe raha ya pombe,akaleta lile konyagi kubwa mil 750 na tonic water pamoja na ice,niliona raha tu maana sikuisikia radha ya konyagi maana tonic tamu mhm kumbe inanichukua taratibu mpaka yakanikuta,bapa kwa kweli hapana imenifanya mbaya ndio maana naogopa atawalewesha,akubali gharama tu hakuna namna
 
Back
Top Bottom