Jinsi ya kupika Magimbi (Eddoes) kwa nyama ya ng'ombe

Abu Haarith

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
250
250

Vipimo
Majimbi (Eddoes) kiasi 6 au 7

Nyama ng’ombe ½ kilos
Tangawizi ilosagwa 1 kijiko cha kulia
Haldi (bizari manjano/turmeric) ½ kijiko cha chai
Tui zito la nazi vikombe 2
Chumvi kiasi
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
  1. Safisha nyama kisha weka chumvi, bizari ya manjano, tangawizi mbichi, ukaushe kwanza katika sufuria kwa kukaanga kaanga.
  2. Ikianza kukauka, weka maji funika uchemshe iwive.
  3. Menya majimbi ukate kate na uweke katika sufuria nyengine.
  4. Mimina supu na nyama katika majimbi uchemshe yawive majimbi.
  5. Mwisho weka tui zito la nazi uchanganye vizuri kisha weka katika moto kidogo tu bila kufunika yakiwa tayari.
JINSI YA KUPIKA MAJIMBI (Eddoes) KWA NYAMA YA NG'OMBE - Muislamu

Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)
 
Mwalubadah

JF-Expert Member
Feb 17, 2017
208
500

Shukran kwa muelekezo wako muzuri,,,.
Bt mafuta nayo hayatakiwi au
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom