Samaki wa kupaka (grilled fish with coconut sauce)

farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,759
2,000
Mahitaji

1)Samaki mkubwa...
2)nyanya 2..
3)kitunguu thomu 1 teaspoon..
4)tangawizi 1 teaspoon
5)bizari ya njano kiasi
6)bizari ya pilau 1 teaspoon...
7)ndimu 2...
8)kitunguu maji 1..
9)chumvi kiasi
10)pilipili manga 1 teaspoon
11)pilipili mbuzi 1
12)tomato sauce
13)tui la nazi 1-1.5 kikombe...

Namna ya kutaarisha samaki

1)safisha vizuri samaki wako na umeweke alama kwa kisu ili viungo viingie ndani ya samaki..muache akolee viungo for 30minutes

2)weka samaki kwenye trey na umuunge kwa pilipili manga,chumvi,ndimu 1,bizari ya pilau,kitunguu saumu na tangawizi...

3)muweke kwenye oven moto kiasi ili awive vizuri....akiwiva upande mmoja mgeuze upande wa pili...

4)ukishawiva pande zote mbili weka samaki kwenye sahani.....

Namna ya kutaarisha sauce

1)saga nyanya,pilipili mbuzi na kitunguu maji weka maji kidogo sana au unaweza tumia tui badala ya maji..

2)weka tui jikoni,mimina mchanganyiko wako uliosaga,weka na bizari...koroga na wacha vichemke vizuri

3)weka tomato paste kiasi ili sauce iwe nzito nzito...

4)weka ndimu....acha ichemke kwa dakika 5 then epua

5)mimina sauce yako juu ya samaki ulimtaarisha kablaSamaki wa kupaka (grilled chicken with coconut sauce) tayari kwa kuliwa...

1386842136638.jpg
 
Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,392
1,500

nilikumisije...ngoja niwahi fery nikawatafute hao samaki
 
Phenomenon Lady

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
407
250

Duh asante sana,afadhali tubadilishe msosi leo
 
farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,759
2,000
Wabheja sana/ asante sana dear sasa umekua mara nyingi unazungumzia bizari ya pilau mbona me siijui au ni ule mchanganyiko wa viungo vya pilau shosti. Tafadhali nijuze

Pilazi ya pilau =uzile=cumin...
 
Attachments

  • 1386843899372.jpg
    File size
    85.1 KB
    Views
    295

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom