Jinsi ya kupika boga la nazi

Abu Haarith

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
250
250


Vipimo
Boga la kiasi - nusu yake
Tui zito la nazi 1 ½ gilasi
Sukari ½ kikombe
Hiliki ½ kijiko cha chai
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
  1. Menya boga kisha katakata vipande vya kiasi.
  2. Weka katika sufuri tia maji kiasi ya kuchemshia na kuwiva bila ya kubakia maji mengi.
  3. Changanya tui na sukari na hiliki kisha mimina juu ya boga wacha katika moto dakika chache tu bila ya kufunika.
  4. Epua mimina katika chombo likiwa tayari.
JINSI YA KUPIKA BOGA LA NAZI - Muislamu

Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)
 

Salmah99

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
308
500
yummy
juzi nilipika hii kitu ilikuwa ndo first tym,nilivyokata boga nkatoa mbegu tuu nkaacha yale manyuzi nkapika hvohvo yaaan ilikuwa kioja..
ladha yote ya boga ikapotea
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom