Mchuzi wa vibua (samaki wadogo)

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,346
Mchuzi huu hufaa wale wenye familia kubwa,
Mahitaji:
fungu moja la vibua,
vitunguu,
nyanya,
tomato paste,
limao,
chumvi, oxo.

Osha vibua toa utumbo na vichwa,
Weka limao na chumvi,
Chemsha kwa dakika kumi toa na uwache wapoe.

Wakipoa toa ule mwiba wa katikati na miba mingine ukiweza. Chambua minofu Ile ya samaki iwe kama nyama ya kusaga.

Kaanga kitunguu mpaka kiwe hudhurungi,
Kata nyanya vipande vidogo kaanga pamoja na vitunguu,
Ongezea pilipili (kama ni mpenzi),
Weka tomato paste, na minofu ya vibua, chumvi na limao, acha ichemke kwa moto mdogo kwa nusu saa.

Mchuzi huu huliwa na ugali au ugali wa muhogo.
 
Mchuzi huu hufaa wale wenye familia kubwa, mahitaji: fungus moja la vibua, vitunguu, nyanya, tomato paste, limao, chumvi, oxo.

Osha vibua toa u tumbo na vichwa, weka limao na chumvi, chemsha kwa dakika kumi toa na uwache wapoe. Wakipoa toa ule mwiba wa katikati na miba mingine utakuweza. Chambua minofu Ile ya samaki iwe kama nyama ya kusaga.

Kaanga kitunguu mpaka kiwe hudhurungi, kata nyanya vipande vidogo kaanga pamoja na vitunguu, ongezea pilipili (kama ni mpenzi), weka tomato paste, oxo na minofu ya vibua, chumvi na limao, acha ichemke kwa moto mdogo kwa nusu saa. Mchuzi huu huliwa na walikuwa na walikuwa, ugali au ugali wa mhogo.
Kapicha ka vibua mkuu
 
aaahaa haaa haaaa...Mr.Mtui iko kitu umenikumbusha nimecheka saana Mtuiiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom