Jinsi ya kuunga mchuzi mtamu wa nyama

Pilipilihoho

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
202
145
Mahitaji
  • Nyama nusu kilo
  • Tangawizi
  • Kitunguu saumu
  • Bizari nyembamba
  • Nyanya
  • Nyanya pakti
  • Curry powder
  • Vitunguu maji
  • Soysauce
  • Pilipili hoho
  • Mafuta
Maelekezo

Chemsha nyama mpaka iive ubaki na supu. Chukua sufuria nyingine bandika jikoni.
Weka kitunguu maji vikiiva weka nyanya, iache iive weka nyanya ya pakti.
Acha ichemke, weka pilipili hoho, tangawizi na kitunguu saumu. Koroga kwa dakika 2, weka curry powder, bizari nyembamba funika dakika 5 kisha weka mchuzi ya nyama.
Acha uchemke mpaka maji yaanze kukauka uone mchuzi unakua mzito, weka soy sauce kama dakika 2 uache uchemke kisha epua.
Hapo utakua tayari kuliwa na chakula chochote.
 
Baada ya nyanya kuiva ndo tunaweka hoho na kitunguu swaumu oooh hili pishi jipya ntajaribu sku nikiwa free gheto maan mi naanzaga kukaanga swaumu na hoho ili viive thn kitunguu maji ndo nafanya nyanya na hizo mbwembwe nyingine kipindi hyo tangawizi nimeitumia kuichemshia nyama ili iwe laini ila hili pishi jipya asee haha
 
Tatizo ninapenda kula nyama iwe ngumu kidogo, ile nyama ya supermarket ukichemsha kidogo tu, unaishia kula nyama kama ya kusaga, ukipika muchuzi bila kuchemsha inanuka shombo la damu, wataalamu nisaidieni.
 
Zinakua zimekaa sana nadhani,kwanini usinunue buchani.Ili iwe ngumungumu uikaange kidogo ndo utie viungo.
 
Wengine tukitoka makazini saa 12:00 jioni butcher nyingi zimefungwa tunaishia supermarket.
 
Mahitaji
  • Nyama nusu kilo
  • Tangawizi
  • Kitunguu saumu
  • Bizari nyembamba
  • Nyanya
  • Nyanya pakti
  • Curry powder
  • Vitunguu maji
  • Soysauce
  • Pilipili hoho
  • Mafuta
Maelekezo

Chemsha nyama mpaka iive ubaki na supu. Chukua sufuria nyingine bandika jikoni.
Weka kitunguu maji vikiiva weka nyanya, iache iive weka nyanya ya pakti.
Acha ichemke, weka pilipili hoho, tangawizi na kitunguu saumu. Koroga kwa dakika 2, weka curry powder, bizari nyembamba funika dakika 5 kisha weka mchuzi ya nyama.
Acha uchemke mpaka maji yaanze kukauka uone mchuzi unakua mzito, weka soy sauce kama dakika 2 uache uchemke kisha epua.
Hapo utakua tayari kuliwa na chakula chochote.
 
Tatizo ninapenda kula nyama iwe ngumu kidogo, ile nyama ya supermarket ukichemsha kidogo tu, unaishia kula nyama kama ya kusaga, ukipika muchuzi bila kuchemsha inanuka shombo la damu, wataalamu nisaidieni.
Kitaalamu/refer food techology Ng'ombe anapochinjwa nyama yake huhifadhiwa kwa wiki mbili ndipo iwe tayari kuliwa...wanaita matured meat...sababu ni kuifanya misuli na kambakaba zilizo katika nyama kuwa laini...kama umeshawahi kwenda ktk restaurant za kisasa ...mfano mzuri Spur Steak Ranches...utaulizwa nyama tukuchomeeje? Rare inachomwa kwa dk 5 tu
Medium rare dk 7-10,...medium dk 10 -15..zaidi ta dk 15 inaitwa well done....Utaratibu huu uko nchi nyingi za ulaya na ndiyo unaotumiwa na Supermarkets vilevile....lnatuwia vigumu ku addopt na hii food technology ya kuvumbika nyama kwa wiki mbili...sio kawaida yetu ndiyo maana nyama za buchani zinakuwa tamu kuliko za Supermarket....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom