Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Mahitaji Kuandaa mkate huu tutakuwa na mahitaji ya aina mbili tofauti. Mahitaji kwa Unga wa mkate Unga wa ngano, kilo 1 Maziwa ya unga vijiko 2 vikubwa Hamira kijiko 1 cha chai Mayai 2 (Moja la...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu, Naomba kwa wanaofahamu spiriti inayowekwa katika vyakula hasa bidhaa ili zisiharibike (preservative) anipe maarifa zaidi. Asante
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Siku mojamoja jaribu kupata kitu cha tofauti na kile ulichokizoea, ama ukiwa outing ama unapata dinner au lunch, naamini nyumban waweza kupika vyakula vya aina nyingi sana lakini inawezekana hivi...
6 Reactions
48 Replies
18K Views
Habari wapendwa. Leo nawaletea pishi la mlenda wa bamia bila kuweka magadi. MAHITAJI: BAMIA MAJANI YA MABOGA AU MATANGO,AU CHINESE KARANGA SUFURIA KIJIKO MPIKICHO AU MWIKO JINSI YA KUNDAA CHAMBUA...
3 Reactions
20 Replies
14K Views
Jamani nahitaji kula ugali nina mtama,mahindi na ngano wadau naomba uwiano wa kuchanganya nafaka hizo asanteni
0 Reactions
5 Replies
12K Views
KUSEMA KWELI MIMI NAJUA KUPIKA KIAINA.KATIKA FAMILIA NI WALE WATU AMBAO KAMA KUNA MNUSO LAZIMA NIPANGWE JIKONI .JAPO SIO KWAMBA MIMI NDO TOP NIPO KAMA NAMBA TATU HIVI KATIKA WANAWAKE SITA SO SIO...
1 Reactions
47 Replies
7K Views
Mchanganyiko upi unafaa kwa ajili ya uji wa lishe kwa mama anaenyonyesha?
0 Reactions
5 Replies
22K Views
Naomba kuuliza kwakuwa mimi mgeni vyakula vya mjini. Hivi yale majani ya kotmir yanawekwa kama mapambo kwenye chakula yanaliwa au ni urembo
1 Reactions
7 Replies
14K Views
Habari ya wakati huu. Wakuu, najifunza kupika baada ya kuamua kupunguza kula migahawani. Naomba kujua viungo au namna tofauti tofauti za kupika nyama au samaki. Namaaniaha viungo vya kuweka...
1 Reactions
34 Replies
57K Views
Habarini za muda huu wapenzi wa jinsi ya kupika. Jiweke tayari tuandae pishi letu la leo, katlesi za samaki. Ni miongoni mwa chakula kipendwacho na wengi kutokana na ladha yake. Haya sasa natumai...
3 Reactions
0 Replies
4K Views
Wana Jamvi kuna kitu napenda niwaeleze nanyi mfaidi ila nipate kwanza maoni ya wengi, Hivi ni kwanini ukipika chakula ukifunika vizuri tu bila ya kuweka kwenye friji zaidi sana kwa miji yenye...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Naomba kuelezwa wenye ujuzi wa kutia ladha kwenye bisi,, nilibahatika kuzila Mara moja nilishangaa vile zilivyoongezewa viungo, ni vitu gani hutiwa?
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari Wanajamvi Naomba kuelekezwa jinsi ya kutengeneza supu ya mbogamboga (vegetable soup). Ahsanteni Ingredients 2 tablespoons olive oil 2 cups chopped...
3 Reactions
17 Replies
17K Views
GET A JOB SPELL Are you one of those people that are struggling to take care of themselves and their families? Have you been looking for a job and you don’t find one? Are you thinking that you’re...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni nini eti, Mayonnaise imetengenezwa kwa vitu gan haswa ili nielewe katika mazingira yetu ya kiswahili. Na matumizi yake ni yapi. Leo nlikua kwenye Coaster ya Mwendamseke inayofanya safari zake...
0 Reactions
42 Replies
10K Views
  • Closed
hii ni katika mazungumzo na msomi mmoja na alinitolea mfano wa nchi zinazokula sana kitimoto kama Ujerumani , China na nchi nyingi za Ulaya jinsi watu wake walivyo na upeo mkubwa wa akili na...
14 Reactions
150 Replies
44K Views
Leo ninakuletea dondoo kidogo kuhusu Matumizi na madhara ya chumvi. Kwa miaka mingi chumvi imeendelea kuwa kiungo muhimu katika chakula cha binaadamu, ukitaka kujua umuhimu wa chumvi pika mboga...
1 Reactions
9 Replies
8K Views
Mahitaji Unga wa ngano kilo 1 Mayai 2 Chumvi Maji Siagi (butter) vijiko 3 vikubwa Mafuta ya kula kwa ajili ya kuchomea Iliki ya unga Maziwa ya unga vijiko 3 vikubwa Maelekezo Weka unga kwenye...
6 Reactions
5 Replies
5K Views
Mara nyingi nimekiona kina mama wakipika mchuzi ikosekana carrot au hoho wala hawana shida lakini kikikosekana kitunguu watatafuta popote pale. Umuhimu katika mchuzi ni upi? na kama kikikosekana...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu najua mko poa, Yaani vyakula vya siku hizi havina harufu kabisa. Miaka ya nyuma kipikwe kitu cha wali hadi mtaa wa 7 utakisikia tu, lakini sasa hivi hata kipikwe hapo hutosikia harufu yake...
2 Reactions
72 Replies
10K Views
Back
Top Bottom