mashairi ya mwanakijiji yako wapi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mashairi ya mwanakijiji yako wapi??

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by The Boss, Sep 11, 2009.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  mi ni mmoja wa watu ambao unaweza kuwaita big fans wa mwanakiji kwa upande wa mashairi,tatizo ni kwamba sijui ni wapi naweza kupata collection nzima ya mashairi ya mwanakijiji,kitabu hivi au blog au chochote kile chenye kuhifadhi mashairi yake,
  kuna baadhi ya mashairi niliyasoma wakati ule wa jamboforum siyaoni na nayatafuta bila mafanikio,so mwanakijiji kama unaweza kunisaidia
  ningependa niwe na collection ya mashairi yako,kuna mashairi kama matatu ya zamani sijui nitayaona wapi??????
   
 2. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  How much are you willing 2 pay ?
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  any amount........
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Sep 12, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,396
  Trophy Points: 280
  asante kwa kuulizia; niko katika kuandaa vitabu na kimojawapo ni hicho cha "diwani ya mwanakijiji".. subira ndugu yangu.
   
 5. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 135
  Mwanakijiji bana......kwa hiyo ulikuwa unaonjesha sasa unataka uuze?
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Sep 12, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,396
  Trophy Points: 280
  yako mengi sana kiasi kwamba kuendelea kutoa moja moja inakuwa vurugu!
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  Ombi langu kwako mwanakiji tafadhali yale mashairi yenye lugha kali
  usiyaache na naomba uyatoe vilevile bila ku edit kitu.............
   
 8. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Naomba hicho kitabu kikiwa dukani tupeane taarifa. Mi ni wa Kwanza kukinunua.

  nakupongeza sana.
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Sep 20, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,396
  Trophy Points: 280
  tutafika tu ndugu yangu; Daktari na Umm Maggid nawatakieni Idi njema!
   
Loading...