Nimekukumbukeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimekukumbukeni

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Swahilian, Sep 18, 2009.

 1. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nimekukumbukeni' si kweli nilikuacheni' yupi kakwambieni.? Usiku na mchana nipo mtaani' enh! Bado naungua tu juani' naye tulokuwa naye sinaye mkononi' majahili waminiweka shakani' mlango wangu utumwani' siishi weka mkono shavuni' nalia mpaka naanguka sakafuni' nyumbani kwangu ati niwe mgeni? Ah! Wajameni nsaidieni hata chozi nfuteni! Basi mnieleweni na msinyongee ntarudi inshaallah! Wote wangu aso wangu hajaletwa.
   
Loading...