Ala Za Muziki

Makedha

Senior Member
Sep 24, 2010
167
53
Nataka kuanzisha thread came ile kuhusu maneno za kiswahili zinazohusu technolojia (=> https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-lugha/128274-technolojia-na-kiswahili.html ) , lakini sasa unatakiwa kutoa jina ya ala za muziki kwa kiswahili.

Najua tayari kuwa:

Flute = Filimbi
Ngoma = Drum

But this is it...

Natamani kujifunza ala za muziki zaidi kwa kiswahili (na hasa tafsiri ya "piano" na "violin")

Ikiwa unajua tafsiri zaidi, uzitoe hapa tafadhali.
 
Back
Top Bottom