Tendo la ndoa

Naomba kujuzwa kuhusu neno sahihi na fasaha la "TENDO LA NDOA" ni lipi??

mmm, maneno mengine ni makali kuandikwa hadharani kama hapa ulipoulizia, nakushauri kama uko over 18, ukaulizie kwa wakubwa wenzio ila weka angalizo kuwa inayokusudiwa ni "lugha" tu na sio mautundu mengine
 
"TENDO LA NDOA"

ni lile linalohusishwa kuingiliana kimwili baina ya mume na mke ambao muunganiko wao wa kuish pamoja unatambulika kwa mujibu wa sheria ya kidin,ina maana wameoana
 
Nimeuliza nikiwa na maana kwamba, unakuta mtu akiwa akielezea hilo tendo kila mmoja anakuwa anaema lwake. Kuna wanaosema KUZINI, KUJAMIIANA, KUKURUBIANA, KUINGILIANA KIMWILI na wengine KUFANYA TENDO la ndoa. Matendo ya ndoa ni mengi kwa muujibu mafundisho ya ndoa. Kila mwanandoa kutimiza wajibu wake kwa mwenza wake, upendo, utii, heshima, kujaliana, kusaidiana, kuvumiliana nk..
 
Naomba kujuzwa kuhusu neno sahihi na fasaha la "TENDO LA NDOA" ni lipi??

Maneno "tendo la ndoa" katika muktadha wa matumizi ya lugha ni tafsida. Hutumika kuelezea dhana ya ashakumu kuingiliana kimwili baina ya watu wawili. Badala ya kutumia maneno makali tunayoyafahamu. Tafsida hii "tendo la ndoa" ilianza kutumika kushadidia ile dhana ya kimsingi kuwa tendo hilo ni mahsusi kwa watu ambao tayari wako kwenye ndoa tu. Nje ya ndoa tendo hilo huchukuliwa kimadili kuwa ni kosa. Kwa hiyo, hata likifanyika nje ya ndoa nadhani bado ni sahihi kuliita tendo la ndoa kama mtumiaji anakusudia kutumia tafsida. Sikubaliani na wale wanaosema kuwa litumike tu andapo kuna ndoa. Hapana, tuangalie muktadha wa chimbuko lake. Asante,
 
kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili sanifu TUKI.
'Tia tupu ya kiume kwenye tupu ya kike katika kitendo cha kujamiiana'
 
tendo la ndoa ni kile kitendo cha kuacha kojoleo la kike kulimeza jienzie la kiume
 
Mahala pake ni wapi na huku wapo watu wenye taaluma mbalimbali ambao wanaweza kuelimisha jamii?? Kama mtu hujui au kuchangia jambo bora kuacha kuliko kejeli au matusi!!!!!!!!!!
 
Naomba kujuzwa kuhusu neno sahihi na fasaha la "TENDO LA NDOA" ni lipi??

Ukiwa

  • ummefunga ndoa kidini au kisheria linaitwa a tendo la ndoa
  • Kisanyansi tunasema kujamiiana
  • kitoto toto wanasema kufanya matusi
  • Bila utumia tafsida linaitwa kuto***na
  • kilugha ta ujana mtaani au misemo tunasema mikasi, kupiga mti
Zingatia matumiz kulingana a hadhira , umri na mambo mengine

ndo hvyo watu tunatumia tafsida ili tupunguze ukali wa maneno lkn kila mtu anajua matendo yote
 
Maneno "tendo la ndoa" katika muktadha wa matumizi ya lugha ni tafsida. Hutumika kuelezea dhana ya ashakumu kuingiliana kimwili baina ya watu wawili. Badala ya kutumia maneno makali tunayoyafahamu. Tafsida hii "tendo la ndoa" ilianza kutumika kushadidia ile dhana ya kimsingi kuwa tendo hilo ni mahsusi kwa watu ambao tayari wako kwenye ndoa tu. Nje ya ndoa tendo hilo huchukuliwa kimadili kuwa ni kosa. Kwa hiyo, hata likifanyika nje ya ndoa nadhani bado ni sahihi kuliita tendo la ndoa kama mtumiaji anakusudia kutumia tafsida. Sikubaliani na wale wanaosema kuwa litumike tu andapo kuna ndoa. Hapana, tuangalie muktadha wa chimbuko lake. Asante,

Upo sawia kabisa ila Tendo hilo likitumika kwa wale wasio na ndoa linaitwa ZINAA au tunasema wamezini.
 
Hii imenikumbusha shoga (ms*ng*) mmoja maarufu
maeneo ya K'koo na Upanga Dar. Kwa jina Supa, hajifichi. Yeye nae husema anafanya tendo la ndoa! Sasa hii imekaaje nae ni mwanamme na hufanywa na wanaume wenzake?
 
Ndio maana likautwa tendo la ndoa. Kama hamjaoana huwezi kuliita tendo la ndo!!kwa hiyo kama hujaoa au kuolewa haujawahi kufanya tendo la ndoa ila ni u... ... chakachuaji tu???:A S 103:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom