je ni sahihi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je ni sahihi?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by sugi, May 7, 2011.

 1. s

  sugi JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  mara nyingi utawasikia watu wakisema"nimezaliwa sehemu fulani"
  Kwa nini wasiseme"nimezawa sehemu fulani?"
  Kwa maana:
  Zaa-mzizi
  Zawa-tendwa
  Zaliwa-tendewa
  Hivyo kusema zaliwa,ina maana kuwa mtu kazaa kwa niaba yako
  Na ukisema zawa hii ina maana kuwa wewe ndio uliyetendwa
  Sijui mnasemaje wataalamu wa kiswahili kwa jambo hili?
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  :bange:
   
 3. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Umenikumbusha, kuna jamaa aliulizwa "umezaliwa sehemu gani?" akajibu "mwili mzima"
   
Loading...