Nylon, plastic na rubber: Kuna neno la Kiswahili?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nylon, plastic na rubber: Kuna neno la Kiswahili?!

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Steve Dii, May 26, 2011.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Naomba kujua kama kuna maneno halisia ya Kiswahili au la lugha yoyote hapa ya Kibantu kuwakilisha maneno yafuatayo:

  -- nylon
  -- plastic
  -- rubber

  Ahsanteni.

  Steve Dii
   
 2. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Neno pekee linalobadilika ni Rubber = mpira yaliyobakia tumeyachukua kama yalivyo.
   
Loading...