Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Picha hii na maelezo yake nimevitoa kwenye Blogu ya Michuzi Jambo ninaloongelea hapo ni jinsi gani uandishi wetu katika kiingereza ulivyokwenda mrama kwa sababu ya kutaka kumjenga rais wetu. Ni...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndio na ndiyo
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau naomba mnipe tofauti kati ya 10,001 na 11,000 katika kuitamka kiswahili bila kuleta utata.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Chombo kii baharini, mawimbi yasukasuka Waloshika usukani, manahodha moja hulka Walikitoa ufukweni, baharini 'kiingika Abiria mehamaki, chombo chaenda mrama! Ilipoanza safari, kutapika walihisi...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba nipatiwe neno sahihi kati ya serekali na serikali pia naomba kujua tofauti kati ya kifo na mauti.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jamani extreme sports kwa Kiswahili ni nini? Fikiria michezo kama vile surfing, mountain climbing, bungy jumping, sky diving, na kadhalika!
0 Reactions
6 Replies
3K Views
NDUGU ZANGUNI, Picha mnato ndio zipi? Kiswahili kigumu!
0 Reactions
10 Replies
15K Views
Taarab tangu kale imekua ikibadilika.kutoka taarab asilia hadi taarab"baada usasa leo".mabadiliko hayo ni pamoja na kumchora mwanamke akigombea wanaume,malaya,akijisifu kumpoka mwenzie...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Wakuu nisaidieni hii: Walimu wa kiume kwa kiingereza ninaandikaje wakuu?? is it male techers? or the male teachers? or .......... plse help me!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wengi wetu especially wakazi wa Dar ninahakika mnalifahamu jengo jipya la Wizara ya Maliasili na Utalii lililopo kandokando ya barabara ya Nyerere karibu na traffic lights za Chan'gombe. Kiukweli...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JM,naomba nifahamishwe nini maana ya mwana harakaki,na ni sifa zipi unatakiwa uwe nazo ili uwe mwana harakati na utambulike?
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Leo nimekwenda Zanaki Sec School, upande ule wa madarasa enye 'Kombi' ya KLF. kule kuna duka la vifaa vya maofisini. Kilichonishangaza ni tangazo llinalosomeka hivi, 'TANGAZO; RIMS ZA PHOTOCOPY...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Habari wana JF, Hivi translators wa english-swahili kwa hapa tanzania wanapatikana wapi wandugu? I mean kama kuna chama au organisation yeyote kuhusu mambo hayo. Binafsi nafanya kazi hiyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Clouds Fm mnatuharibia Kiswahili chetu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna hii sentensi, sasa sina uhakika kama ina leta mantiki au la. ila ninependa kuwashirikisha nanyi wenzangu."Baba/mama mimi ni mwanao wa ngapi?" sasa kwa kiingereza sijui ita tamkwaje au...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Naomba mnijuvye kamusi zilizo bora za Kiswahili - English na English - Kiswahili.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napata uvulivuli juu ya dhana hizi"chachu" na "ngwadu",tofauti yake ni ipi?na je ni sahihi kusema kuwa chachu ni ngwadu ila si kila ngwadu ni chachu?mfano,maziwa yanapochachuka huwa ngwadu lakini...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Kwenye sarufi kuna kitu kinaitwa VIYEYUSHO,hiv ni vitu gani na aina zake ni zipi?
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Kiswahili kinabanangwa na kuvizwa hasa na wasomi ambao huchanganyanya lugha ya kiswahili na kingereza makusudi wakijinaki kuwa wao ni wasomi,jamani eleweni kuwa kujua kingereza haimaanishi kuwa...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Neno kuoana lipo katika kauli ya kutendana,hivyo tunenapo kuwa"wameoana jana"si sahihi kwani mke haoi bali anaolewa,na mume ndo anaoa.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom