What is the swahili word for "Motto"?

S.Liondo

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,408
1,712
I will appreciate anyone who will help me putting the following words or statements in Swahili:
Motto, Mission statement, and vision statement.
 
Kwa mujibu wa CONCISE ENGLISH-SWAHILI DICTIONARY ya OXFORD UNIVERSITY PRESS:

Motto - Wito; Tamko.
MISSION - Ujumbe; Kazi maalumu.
VISION - Uwezo wa kuona au kuwaza; Busara; njozi; ndoto.
STATEMENT - Taarifa; maelezo; kauli; tamko; habari.

Sasa kwenye Mission statement and vision statement hapo mmh!!
 
kwa mujibu wa wanasiasa wengi...

Motto.....kaulimbiu

utawasikia kwa mfano wakisema kaulimbiu ya sherehe za mwaka huu ni mapinduzi ya kijani yanawezekana...maana yake our motto this year around is green revolution is possible(samahani maana kiingereza changu ni cha saint kayumba sec school)

hayo mengine...hayana tafsiri za moja kwa moja isipokuwa za maana na mkuu wangu miale ya almasi(Rayz of Diamond) ameeleza hapo juu:smile-big:
 
ama kweli kiswahili sijui kiingereza sijui...bakita ina kazi ya ziada kufafanua viswahili vyetu
 
It is true that our Swahili is still growing. However, I appreciate for the good answers that I was able to get from you guys. Thank you and let us keep on helping one another in this field of linguistic education.
 
Kiswahili cha Maneno haya ni:
Motto - Kauli mbiu
Mission statement - Dhima
vision statement - Dira
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom