Kiresua JF-Expert Member May 13, 2009 1,184 259 May 16, 2011 #1 Malenga wetu Hodi hapa ukumbini, jamani naoma mnijuzze maana ya maneno Credit, debit na commulative ballance kwa kiswahili, natafsiri cash book, doooooo salale!!!! msaada tafadhali asanteni sana
Malenga wetu Hodi hapa ukumbini, jamani naoma mnijuzze maana ya maneno Credit, debit na commulative ballance kwa kiswahili, natafsiri cash book, doooooo salale!!!! msaada tafadhali asanteni sana