Maana ya maneno "Credit", "Debit" na "Commulative ballance" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maana ya maneno "Credit", "Debit" na "Commulative ballance"

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Kiresua, May 16, 2011.

 1. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Malenga wetu Hodi hapa ukumbini,

  jamani naoma mnijuzze maana ya maneno Credit, debit na commulative ballance kwa kiswahili, natafsiri cash book, doooooo salale!!!!

  msaada tafadhali

  asanteni sana
   
 2. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Hizo ni istilahi (terminology) za hesabu za kibiashara (bookkeeping/Accounts). Maneno hayo yametafsiriwa kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili (TUKI):

  Debit n mtoe, mdaiwa; hesabu (iliyoandikwa upande wa madeni katika daftari) (kinyume cha mpe).
  credit n 1 muamana. 2 mkopo, karadha. buy/sell on ~ nunua/ uza kwa mkopo. ~ account n (US charge account). ~ card n kadi ya mkopo. ~ note n hati ya kudai. letter of ~ n hati ya muamana. ~ squeeze n sera ya kubana utoaji mikopo. ~ balance n baki ya upande wa malipo. 3 (book-keeping) mpe: maingizo ya fedha zilizotolewa. 4 sifa njema, heshima. give ~ (to) sifia, tambua. do/reflect ~ ongezea sifa. 5 imani the rumour is gaining ~ uvumi unazidi kuaminika she has five books to her ~ ameandika vitabu vitano. vt 1 amini. 2 kopesha. 3 fanya maingizo ya. ~able adj. ~or n mwia. ably adv.

  Cummulative Balance- Salio endelea/endelevu
   
Loading...