Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
igp ni kiongozi wa polisi,ni mtu muhimu sana katika idara ya usalama, kila anapotoa hotuba lazima ingilishi sana,mweshimiwa wananchi wengi wanaokutegema hawajui ingilishi,hivi ni lazima...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna mtu ana soft copy ya kamusi ya kiswahili kwa kiswahili? nilinunua Hard copy ila kwa sasa natafuta soft copy ile nisiwe na mizigo mingi ya kubeba (vitabu) pindi ninaposafiri
1 Reactions
0 Replies
7K Views
Kama asalam alleykhum ni sawa na amani iwe nawe, kwanini tusilitumie neno la kiswahili tunaposalimiana na badala yake tunatumia la kiarabu?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Topic deleted!
0 Reactions
6 Replies
8K Views
sipendi kuona watu wanasema usariti!!!badala ya usaliti----wanasema rema badala ya lema-----wanasema haroo badala ya haloo-----wanasemo hiko badala ya hicho------wanasema kukuhalibia badala ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Jaman hv hii lugha hapa tanzania tumelazimishwa kuitumia au? mbona tuna kibananga?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
NYOKA Nyoka hana gamba, ana ngozi, Nyoka hujivua ngozi, awe mpya, fisadi na mgomvi Nyoka kujivua ngozi, hakuondoi hatari Nyoka hana gamba, ana ngozi siku akivua ngozi, sirini yuko gizani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je yawezekana kujifunza na kuweza kuongea Lugha ya kiingereza kwa muda wa wiki tatu hapa bongo na kama yawezekana tufahamishane ni mahali gani hapo waheshimiwa? na ni kiasi gani?hii ni kwa mtu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiswahili kweli ni lugha masikini, maneno mengi yanatumika kwa maana tofauti na hivyo huweza kuwachanganya watumiaji: Mfano: 1. Kufika= kuwasili sehemu fulani, kufikia hamu katika tendo la ndoa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Tangu nilipokua mtoto nimekua nikisikia watu wanasem ati hizo ni ndoto za alinacha. sasa nashindwa kupata jibu, huyu alinacha ni nani? au tunamaanisha nini tunaposema ndoto za alinacha? tafadhali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna utofauti mkubwa sana kati ya neno LOVE na LIKE,Love is more serious than like,kwahiyo ni vigumu mtu ambaye umekutana nae kwa mara ya kwanza kumwambia I LOVE YOU,instead inapaswa kusema I LIKE...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Zipi sifa za mwanafunzi bora?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
leo tumeingiliwa na watu wanaoitwa wezi,zilisikika kelele tofauti kama ifuatavyo weezii waiizii majizi mijizi naomba maana hasa ya hayo maneno
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Tafadhali nisaidieni jinsi phrase hii `Regional Integration' inavyoweza kutafsiriwa kwa Kiswahili
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vuvi lambwa vuvi nyika, jivuvi la madimbwini, likawaza kadhalika, lingevua baharini, Na sasa lafadhaika, chambo hakina thamani, Samaki amezichambo, au twambe hakioni? Karibuni katika uchambuzi.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshma mbele wakubwa!naomba mnisaidie kunipa maana ya neno 'kANJANJA'
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Naomba kujua kama kuna maneno halisia ya Kiswahili au la lugha yoyote hapa ya Kibantu kuwakilisha maneno yafuatayo: -- nylon -- plastic -- rubber Ahsanteni. Steve Dii
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba msaada kutoka kwa wataalamu wa lugha ya kiingereza.Can you say...."at" new york? Or "In" New York? Which one is correct? if you wanna describe your location.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
HIVI NIKISEMA TUONANE HALAFU. NA pia nikisema tuonane BAADAE. NI IPI TOFAUTI HASA YA HAYA MANENO (HALAFU) NA (BAADAE)
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wapendwa, Topic hii si ya Kisiasa bali ni Lugha, Hivyo naomba mawazo na michango yenu iishie hapo tu kama itawezekana. Kwa kipindi kirefu sana nimekuwa nikimsikia Rais akinukuliwa au nikimsikia...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…