Re:Mambo!

CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
321
53
Kuna utofauti mkubwa sana kati ya neno LOVE na LIKE,Love is more serious than like,kwahiyo ni vigumu mtu ambaye umekutana nae kwa mara ya kwanza kumwambia I LOVE YOU,instead inapaswa kusema I LIKE the way ......
 
Nakubaliana na wewe japo hayo yana ukweli zaidi katika muktadha wa mapenzi. Katika matumizi ya muktadha tofauti LOVE na LIKE yanaweza yasiwe kama unavyosema wewe. Nikisema "I love music au I like music" hakuna tofauti kubwa sana.
Lkn kuhusu mapenzi Love lina uzito zaidi. Na nimeelewa kuwa ndio hasa uliolenga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom