jamani naomba msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani naomba msaada

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Tanganyika1, May 28, 2011.

 1. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Tangu nilipokua mtoto nimekua nikisikia watu wanasem ati hizo ni ndoto za alinacha. sasa nashindwa kupata jibu, huyu alinacha ni nani? au tunamaanisha nini tunaposema ndoto za alinacha?
  tafadhali wanajamii naomba majibu.
   
 2. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  ?????????
   
Loading...