Asalam Alleykhum

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,834
Kama asalam alleykhum ni sawa na amani iwe nawe, kwanini tusilitumie neno la kiswahili tunaposalimiana na badala yake tunatumia la kiarabu?
 
Nadhani halazimishi mtu kutumia lugha yoyote wakati wa kuzungumza ,kwahiyo nadhani pia huu ni utashi wa mtu binafsi katika kuamua salamu gani awape watu gani?
Kama wewe hupendi kusema "Asalam alykum" basi sema "Shalom" au "Mambo" tu inatosha.
Tuache ku-complicate the uncomplicated
 
QUOTE=mikela;2064383]waislamu bwana ahh mna complocate sana mambo[/QUOTE]

hoja ni kiarabu kwa kiswahili-Waislam wanaingiaje hapa-acha zako fara weweweeeeeeeeeeee
 
Kila mtu ana hakhi ya kutumia lugha yoyote na kutamka alitakavyo neno hilo . lakini mind you wanasheria wanasema NO EQUAL TRANSLATIONs.
 
Back
Top Bottom