Muda mrefu nimekuwa nikikutana na hili,linapokuja swala la barabara au bustani utakuta mtu mwenye taaluma ya uandishi habari kaandika.
Ajali imetokea barabara ya Ali Hassan Mwinyi Road,au sherehe...
maneno yenyewe ni pamoja na
1 circular motion
2 acceleration
3 x-rays
4 molar mass
5 proton
6 chlorophyll
7 oxygen
8 carbon dioxide
msaada pia kwa maneno mengine meeeeengi...
Wapendwa,
mimi ni Mjerumani. Najitahidi kujifunza Kiswahili.
Swali langu: Je, kuna neno katika lugha ya Kiswahili linalotumiwa kuonyesha kwamba wanaarusi wawili walifunga ndoa yao, kama neno la...
Watanzania tubadilike,tuipende na kuilinda Lugha yetu! Utakuta mtu anaandika "ivi" badala ya hivi,"una ela" badala ya huna hela, "ujui" badala ya hujuwi, nk uharibifu huu (mwingine angeandika...
Jamani leo naomba tushirikane katika hili, kwenye lugha ya kiingereza kuna sentensi 'at the end of the day' na pia kwenye kiswahili kuna sentensi 'mwisho wa siku'. Naomba kujua hii sentensi ni...
1. Kauli zao asali, bado kushika utamu,
Kama kifaru wakali, wakishashika hatamu
Taanguka chini chali, wakati wao karamu,
Nimechoka na vya ofisini na ruzuku, nasubiri vya porini
2.Tamaa...
Hivi kuna tofauti gani kati ya Majini, Mashetani, Mapepo na Mahayawani?
Naomba msaada wenu ndugu wataalam.
Maana kanisani utasikia wakikemea pepo toka, Masheikh utawasikia wanafukuza majini.
Yaani...
Habari zenu tha great thinkers!
Jaman nimesoma mpaka six na sasa nipo chuoni lakini sijajua kutafsiri usemi huu kwa kiingereza "baba mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa?" naombeni nisaidiwe...
Wakuu, naomba kuuliza maana halisi ya neno 'pole'
Unamkuta mgonjwa, unamuambia pole
Mu katoka kazini unamwambia pole
Katoka safarini unamwambia pole na safari
Ukitaka kumuelezea mtu maana ya...
Too Late
You're dying,
And you don't even know it, never saw it coming
But you were so young, so much life, so much loving
So much hope, so much sorrow, I guess so much for tomorrow,
Your...
Wana JF nawasalimu sana katika Jina la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Baada ya salamu hizo leo nimekuja na kamada kadogo kabisa katika hili jukwaa la lugha.
Watu wengi wamekuwa na...
Naomba nieleweshwe kama KUNOMINISHA na KUUNDA KITENZI JINA ni kitu kimoja au kuna tofauti na kama kuna tofauti ni ipi?
Mfano: neno "CHEZA" kati ya "KUCHEZA" na "MCHEZO" ipi ni sahihi katika...
shangingi nnavyojua ni mwanamke-flamboyant, mmbeya na msengenyaji!(sina uhakika kama ni kiswahili fasaha), ikaja kwamba aina fulani ya magari yakaitwa mashangingi, sasa imekuwa kama ni neno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.