Msaada kwenye tuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye tuta

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Kilamia, May 23, 2011.

 1. K

  Kilamia Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Jul 9, 2008
  Messages: 62
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Tafadhali nisaidieni jinsi phrase hii `Regional Integration' inavyoweza kutafsiriwa kwa Kiswahili
   
 2. a

  andry surlbaran Senior Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0  mahusiano ya kikanda
   
 3. S

  Senior Bachelor Member

  #3
  May 28, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Safi sana Kilamia japo kidogo umekosea. Ni "uhusiano wa kikanda" na sio "mahusiano" pia waweza kusema "muungano/muunganiko wa kikanda". Neno uhusiano linabeba dhana pana zaidi ya "muunganiko". Japo ni zuri pia.
   
Loading...