Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Nisaidieni wataalam wa lugha yetu kutamka herufi hizo kwa kiswahili...nakumbuka shuleni tulifundishwa ila sasa nimeshasahau kwasababu sijasikia wengine wakitumia. Ninazozikumbuka tulizofundishwa...
0 Reactions
6 Replies
10K Views
CHACHANDU ZA UCHACHIZI 1301 2006Chachandu iliyochacha, si chachandu chachizi, Huuchachuza mchicha,na kuchachiza mchuzi, Huchuruza kwe'pakacha,churuzo ya uchirizi, HUCHACHIZIA MCHUZI, CHACHANDU...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Kiswahili cha Air Condition ni nini? Maana nishajiuliza ni kileta baridi au?
0 Reactions
7 Replies
16K Views
Jamani watangazaji wetu kuna tofauti ya kimatamshi kati ya vifupi vya maneno vilivyoandikwa kwa kutenganishwa na nukta na vile visivyotenganishwa na nukta. Mbona mnasoma bila kujali kama kuna...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau wa lugha natatizwa na kitumbua kinachomwa, kaangwa, au pikwa? Huku uswaz tunachoma vitumbua.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
jamani wana lugha ya kiingereza msaada je ukitaka kumwambia mtu ngozi inawasha unasemaje kwa kiingreza neno ninalohitaji sana ni hili "washa" or kuwasha kwa ngozi au mwili hope to receive...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tafadhalini wana jamvi nauliza kujiongeza ndio nini, naona vijana wengi wanatumia hilo neno.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wakuu naombeni mnijuze tofauti kati ya haya maneno, hayati na marehemu.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
habari wana Jf hasa katika uga huu wa lugha.
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Nashindwa kuwaelewa baadhi ya watu wasemavyo, muda huu ni wa kuuaga mwili wa marehemu. Hebu tuwekane sawa! Je, inawapasa wasemeje ili kuuondoa utata wa lugha! Tafadhali dadafueni kauli hiyo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hiki kiswahili kimenishinda.. Kuna mahali naona watu wana comment, "kufikiri kwa kutumia masaburi".. Masaburi ni nini hasa??.. Shukrani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa matumizi ya kawaida na ya kila siku ya maneno haya, inawezekana kuna watu huitwa kwa majina haya isivyostahiri. Maneno yenyewe ni kama; Tahila zezeta punguani hayawani chizi kichaa...
0 Reactions
6 Replies
17K Views
Is 12 o'clock midnight AM or PM? Kwa kiswahili ni saa 6 Usiku! Which one is correct? Is it AM or PM?
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Katika kizazi kijacho kitakuwa hakijui kiswahili fasaha kwa kiasi kikubwa sana, kwani baadhi ya radio zetu zimekuwa mstari wa mbele kuua lugha yetu na kuingiza maneno ya kihuni tuu, sipati picha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bahari za mihangaiko wanandugu....leo katika maongezi na baadhi ya wadau hapa mtandaoni..jamaa yangu akasema..."Tatizo la sisi waswahini ni kwamba hatunaga future katika mipango yetu...tuna zamani...
0 Reactions
40 Replies
12K Views
Kwa wasiofahamu elimu ya mwandishi wa vitabu vya riwaya na mashairi hayati shaaban Robert ana elimu ya darasa la nne.Unazikumbuka kazi zake hizi?Kusadikika,kufikirika,Adili na Nduguze n.k.Je hao...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Wana JF mnijuze,kipi kinakatika umeme au waya?
2 Reactions
25 Replies
4K Views
nini maana ya neno tundu na nenu lusu?
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Jamani nimekwama swali hili nimefikiria sana lakini wapi! MARITAL STATUS ni nini kwa Kiswahili?
0 Reactions
17 Replies
33K Views
Wanajamii nisaidieni kutafsiri. kuna aina ya maharage, ni madogo meusi yana mstari mmoja mweupe yanaitwa ngwara kwa kiswahili, yanalimwa sana hai na maeneo mengine pia hutengeneza mafuta wakati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom